Home > Termini > Swahili (SW) > Shule ya Fasihi ya Preslav

Shule ya Fasihi ya Preslav

Shule ya Fasihi ya Preslav ilikuwa ya shule ya kwanza ya fasihi katika enzi za kati ya Ufalme wa Bulgaria Ilianzishwa na Boris I katika mwaka wa 885 au 886 katika mji mkuu wa Bulgaria, Pliska. Katika mwaka wa 893, Simeoni I aliinua cheo cha shule kutoka Pliska hadi katika mji mkuu mpya, Preslav.

0
  • Parte del discorso: sostantivo
  • Sinonimi:
  • Blossario:
  • Settore/Dominio: Cultura
  • Categoria: Persone
  • Company:
  • Prodotto:
  • Acronimo - Abbreviazione:
Aggiungi a My Glossary

Lascia un commento?

Per rispondere alla discussione devi effettuare l'accesso.

Termini nelle notizie

Termini in evidenza

ongaka yusuf walela
  • 0

    Termini

  • 1

    Glossari

  • 0

    Sostenitori

Settore/Dominio: Lingua Categoria: Grammatica

lugha tenganishi

lugha tenganishi inaunda lugha za mofimu moja (yaani, kwa mzizi bila udogo) huwa zinatumia maneno fupi pale ambapo lugha nyingine inatumia neno moja ...