Home > Termini > Swahili (SW) > imani

imani

Uyahudi hauna fundisho kuu, hakuna uwekaji rasmi wa imani ambayo ni lazima mtu kushikilia ili awe Myahudi. Katika Uyahudi, vitendo ni muhimu zaidi kuliko imani, ingawa kuna nafasi ya imani katika Uyahudi. Tazama Je, Wayahudi wanamwamini?; Hali ya Mungu; Hali ya Binadamu; Kabbalah; Olam Ha-Ba: Maisha Baada ya Kifo.

0
Aggiungi a My Glossary

Lascia un commento?

Per rispondere alla discussione devi effettuare l'accesso.

Termini nelle notizie

Termini in evidenza

Ann Njagi
  • 0

    Termini

  • 0

    Glossari

  • 12

    Sostenitori

Settore/Dominio: Hardware di rete Categoria:

mtandao wa tarakilishi

mfumo wa vifaa vya tarakilishi viliyounganishwa kiugawana vibali kwa taarifa