Home > Termini > Swahili (SW) > imani

imani

Ni kipawa cha Mungu na kitendi cha binadamu ambacho muumini hutoa uzingatiaji binafsi kwa Mungu ambaye anakaribisha majibu yake, na kwa uhuru anakubali ukweli wote ambao Mungu umebaini. Ni ufunuo huu wa Mungu ambao Kanisa inapendekeza kwa imani yetu, na ambao sisi hukiri katika Imani, husherehekea katika sakramenti, huishi kwa mwenendo ilio sawa unsotimiza amri mara mbili ya upendo (kama ilivyo katika amri kumi), na kujibu na katika maombi yetu ya imani. Imani ni mujibu wa kitheolojia uliotolewa na Mungu kama neema, na wajibu ambao unatokana na amri ya kwanza ya Mungu (26, 142, 150, 1814, 2087).

0
Aggiungi a My Glossary

Lascia un commento?

Per rispondere alla discussione devi effettuare l'accesso.

Termini nelle notizie

Termini in evidenza

ogongo3
  • 0

    Termini

  • 0

    Glossari

  • 3

    Sostenitori

Settore/Dominio: Persone Categoria: Musicisti

Bob Dylan (almasi, Watu, wanamuziki)

mwimbaji-mtunzi wa nyimbo na mashairi, pia inajulikana tangu miaka ya 1960 alipoanza kuonekana kama sanamu za machafuko ya kijamii na mabadiliko kwa ...