Home > Termini > Swahili (SW) > John McCain

John McCain

John MacCain ni seneta wa Marekani menye uzoefu mkubwa toka jimbo la Arizona. Aligombea urais bila mafanikio mwaka 2008 na kubwagwa na Barack Obama. Mgombea-mwenza wake alikuwa Sarah Palin.

0
Aggiungi a My Glossary

Lascia un commento?

Per rispondere alla discussione devi effettuare l'accesso.

Termini nelle notizie

Termini in evidenza

Jonah Ondieki
  • 0

    Termini

  • 0

    Glossari

  • 1

    Sostenitori

Settore/Dominio: Governo Categoria: Governo americano

kuongoza kutoka nyuma

Msemo ambao unasemekana kutumika na Ikulu ya Rais Obama kuelezea vitendo vya Marekani huko Lybia kama "kuongoza kutoka nyuma." msemo huu ...